Wakati wowote unapofanya kitu Kuna changa moto ambazo zitajitokeza lakini Kama mwanaadam basi usikate taa . Pindi ukianguka Basi enuka na endapo utaanguka basi enuka tena , usikubali kufa kabla kifo chako kufikia. Pambana kisawa sawa na Kuna siku utashinda.