Artist : PAUL KIND
Produced By : Coded66 mimistries/ Word Visuals
Verse One)
Najua ni funny sana kuskia poet akisema hakuna peace,
Ina maana the enemy has got us on his cross hairs
And trust me yeye huwa hamiss,
So Public faces tuliselect kurepresent our cases
zimetuacha with empty palms,
Because wale wanaiba pesa za serekali
wanafanya ivyo under the court of arms,
Which leaves me asking could it be maybe Hio ndio real defination ya serkali ina mkono mrefu
"Public faces
tuliselect kurepresent our cases
zimetuacha with empty palms"
Juu nmechoka kusikia kila mwaka budget inasomwa,
Including pesa NHIF,
ilahali kuna mwananchi mahali awezi afford ata treatment ya homa
si io ni noma
VERSE TWO
Wakati mzazi anastruggle kulipia mtoi school fees
na amtumie pocket money,
wabunge wanatumwa russia na our own money
wakirudi mwishow wa mwezi walipwe salary
wakati watu mashinani wanalia serikali iwaonee imani,
Too many hands zinafanya exams,
Unapewa Kalamu, the power to read and write,but after wards
Unashindwa kujijazia juu hujui form ni gani,
Swali ni who was wrong and who was right?
Yet you still ask Niaje our people now know how to to fight,
well !
You really cant blind a man and promise him no light and expect him not to fight.
"Public faces
Tuliselect kurepresent our cases
Zimetuacha with empty palms"
VERSE THREE
Sijui maDj wachukue usukani coz maybe wanaeza turn tables,
Or perhaps tunahitaji chameleon leaders ndio tuone change,
Ama tutafute the chief author
Atleast acome a rewrite this one particular part of this page.
Maybe wamejinyonga lakini sisi ndo tunakufa,
Uchungu wa kupoteza kisu kilicho nolewa
kwa mizizi ya meno si tu kwa tufa,
Lakini wasio kuwa na huruma kutuwinda na kutuwacha mifupa,
"Public faces
Tuliselect kurepresent our cases
Zimetuacha with empty palms"